Home

Tangazo kwa watafiti wote wa sekta ya kilimo na maliasili

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd. Juma Ali Juma akikagua matrekta baada ya kukabidhiwa na Kampuni ya SUMA JKT huko Mbweni karakana ya matrekta Wilaya ya Mjini Unguja tarehe 3/2/2013Maelezo zaidi>>>

 

 

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Mhe. Mtumwa Kheir Mbarak akivuna mbegu za mpunga pamoja na wanakikundi cha Nguvu Kazi Tusizembee katika uzinduzi wa uvunaji wa mbegu za mpunga huko Kisongoni Wilaya ya Kaskazini A Unguja tarehe 10/6/2013Maelezo zaidi>>>

 

 

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Fereji akihutubia  katika kongamano la tatu la Mapitio ya Tafiti za Kilimo katika ukumbi wa Salama Hall  wa Hoteli ya Bwawani  Zanzibar tarehe 4/6/2013: Maelezo zaidi>>>

 

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa bonde la Kibokwa Mchangani Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 13/3/2013: Maelezo zaidi>>>

 

 

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Mhe. Mtumwa Kheir Mbarak akimkabizi pesa taslim mwenyekiti wa kamati ya uhifadhi rasilimali misitu na wanyama  Nd. Ali Othman huko Mtende  Wilaya ya Kusini  Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 24/2/2013Maelezo zaidi>>>

 

 

Makamu wa Pili wa wa Rais Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi jengo la Dakhalia la Chuo cha Kilimo Kizimbani Wilaya ya Magharibi  Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja tarehe 5/1/2013Maelezo zaidi>>>